Thursday, 1 November 2012

DIWANI AKIKAMATA MALIASILI

Diwani wa Kata ya Endiamtu Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara Lucas Zacharia (kulia) ambaye jana alikamata gari aina ya canter lililokuwa limebeba magunia 120 ya mkaa bila kuwa na kibali,akizungumza na baadhi ya watu waliokuwa kwenye gari hilo eneo la Tilili,sehemu kubwa ya wilaya hiyo imegeuka na kuwa jangwa kutokana na ukataji miti kwa ajili ya biashara ya mkaa ambapo gunia moja linauzwa sh18,000 wilayani humo.

No comments:

Post a Comment