Diwani wa Kata ya Endiamtu Wilaya ya Simanjiro
Mkoani Manyara Lucas Zacharia (kulia) ambaye jana alikamata gari aina ya canter
lililokuwa limebeba magunia 120 ya mkaa bila kuwa na kibali,akizungumza na mtu
aliyekuwa kwenye gari hilo eneo la Tilili,sehemu kubwa ya wilaya hiyo imegeuka
na kuwa jangwa kutokana na ukataji miti kwa ajili ya biashara ya mkaa ambapo
gunia moja linauzwa sh18,000 wilayani humo.
|
No comments:
Post a Comment