Saturday, 3 November 2012

JK AKIMWAGIA MAJI MTI ALIOUPANDA BABATI

Rais Jakaya Kikwete akimwagia maji mti alioupanda eneo la Sinai wilayani Babati Mkoani Manyara baada ya kuzindua barabara ya kiwango cha lami ya Minjingu-Babati-Singida.

No comments:

Post a Comment