Wednesday 22 November 2017

WAANDISHI WA HABARI WA MANYARA NA ARUSHA

Waandishi wa habari wa Mikoa ya Manyara na Arusha wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Chelestino Mofuga baada ya kupata mafunzo ya namna ya kuandika maombi ya ruzuku kwa Tanzania Media Foundation (TMF) Mjini Babati.

No comments:

Post a Comment