Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani
Manyara, Hudson Starnley Kamoga akiwakabidhi ndoo yenye maji wanafunzi wa shule ya msingi Endamasak, baada ya mradi wa maji kukamilika na kuondoa tatizo la muda mrefu la ukosefu wa maji lililokuwa linawakabili wanafunzi na walimu wa shule hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani
Manyara, Hudson Starnley Kamoga (kushoto) akikagua mabomba ya maji kwenye mradi wa
Kijiji cha Endamasak, kulia ni mhandisi wa maji wa Halmashauri hiyo John Michael.
Mkurugenzi Mtendani wa
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Starnley Kamoga akila makande kwenye shule ya msingi Endamasak, huku wanafunzi wengine
wakipanga foleni ya kupata chakula hicho, baada ya kukamilika kwa mradi wa maji
shuleni hapo.
No comments:
Post a Comment