Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana akimkabidhi cheti na kumpongeza Mkurugenzi wa Grace Land Hotel Daniel Ole Materi ambaye ni Kamanda wa UVCCM Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, katikati ni Mkuu wa wilaya hiyo Mahmoud Hashim Kambona na Katibu wa CCM mkoani humo Ndeng'aso Ndekubali.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana akimkabidhi ngao Mkurugenzi wa Grace Land hotel Daniel Ole Materi na kumsimika kuwa Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara.
Kamanda wa vijana wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Daniel Ole Materi akiwapungia mkono wakazi wa Mji mdogo wa Mirerani, baada ya kusimikwa na Ktibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana.
No comments:
Post a Comment