Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana akimsikiliza Katibu Uchumi na Fedha wa CCM Mkoa wa Manyara, Lucas Zacharia wakati akiomba kura ili achaguliwe tena kuwa Diwani wa Kata ya Endiamtu.Mgombea udiwani wa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro Lucas Chimbason Zacharia ambaye pia ni Katibu Uchumi na Fedha wa CCM mkoani Manyara, akiwaomba kura wakazi wa kata hiyo.


No comments:
Post a Comment