Thursday, 1 October 2015

MWENGE WA UHURU MKOANI MANYARAMara baada ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru tulipoukimbiza Mkoani ManyaraWakimbiza mwenge kitaifa Karim Haruna (kushoto) na Arnold Litimba wakikagua zao la kitunguu kwenye kijiji cha Gunge Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, mara baada ya mwenge wa uhuru kutembelea wilayani humoKiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, Juma Khatibu Chum akizindua mradi wa barabara ya Bassodesh-Mulbadaw jana Wilayani Hanang' Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment