Tuesday, 4 February 2014

SIKU YA SHERIA NCHINI

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Manyara, Wanjah Hamza akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini ambayo kimkoa ilifanyika Februari 3 mjini Babati.

Mahakimu na wanasheria wa Mahakama za Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakisikiliza hotuza zilizokuwa zinatolewa kwenye siku ya sheria nchini zilizofanyika kwenye viwanja vya Mahakama za wilaya hiyo.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Babati Day Mkoani Manyara, wakisikiliza hotuba zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa dini, wanasheria, hakimu Mfawidhi, Wanjah Hamza na Mkuu wa Mkoa huo Elaston Mbwilo kwenye siku ya sheria nchini.

No comments:

Post a Comment