UKAGUZI ELIMU
Mkuu wa Mkoa wa
Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza na mzazi na mwanafunzi wa shule ya
sekondari Naisinyai Wilayani Simanjiro kwenye ziara yake ya kutembelea na
kukagua elimu wilayani humo
Mkuu wa Mkoa wa
Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza na wakazi wa Kata ya Mirerani, Wilayani
Simanjiro, kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo
kushoto ni Diwani wa kata hiyo Justin Nyari na kulia ni Katibu Tawala wa wilaya
hiyo, Elias Ntiruhungwa.
No comments:
Post a Comment