Mambo
ya Obama hayoo
Rais
wa Marekani Barack Obama na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete wakifurahia ngoma za
utamaduni alipofanya ziara Tanzania Julai mosi mwaka huu
Rais
wa Marekani Barack Obama na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete akisalimiana na
baadhi ya watu waliokuja kumpokea Obama alipofanya ziara Tanzania Julai mosi
mwaka huu.
No comments:
Post a Comment