Kaimu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Nishati na Madini, Mhe Anne Kilango
Malecela (katikati) Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Mhe Richard Ndassa
(kushoto) na Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kaskazini, Benjamin
Mchwampaka wakiwa kwenye mkutano na wachimbaji wadogo wa Madini ya Tanzanite wa
Mji mdogo wa Mirerani.
Kaimu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Nishati na Madini, Mhe Anne Kilango
Malecela (katikati) akiongozwa na Mchimbaji wa madini ya Tanzanite (kushoto) Mohamed
Karia ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Tan Youth Mining Ltd ambayo wachimbaji
wadogo wanaiomba Serikali iifutie kodi na iipe kibali cha kuwasambazia zana za
milipuko kwa bei nafuu.
Mbunge
wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Mhe Christopher Ole Sendeka,akizungumza
kwenye kikao cha Kamati ya Bunge ya kudumu ya Nishati na Madini, ilipotembelea
wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani.
No comments:
Post a Comment