Tuesday, 19 December 2017

KAMOGA NA UZINDUZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI UMBUR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga akizindua madarasa matatu ya shule ya msingi Umbur ambayo moja kati ya hayo alimaliza kwa jitihada zake kwa kuzungumza na wadau wa maendeleo waliofanikisha hilo, kwa kumpatia shilingi milioni 10 ambapo milioni saba zilimaliza jengo la darasa hilo na shilingi milioni tatu zikaenda kutumika kufanya utafiti wa maji kwenye vijiji vya Mamagi na Genda.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Masieda baada ya kuzindua madarasa matatu ya shule ya msingi Umbur  
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga, akipewa zawadi ya majani na mzee wa kimila John Tluway baada ya kufanikisha ujenzi wa darasa la shule ya msingi Umbur
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Masieda baada ya kuzindua madarasa matatu ya shule ya msingi Umbur  
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga akizindua madarasa matatu ya shule ya msingi Umbur ambayo moja kati ya hayo alimaliza kwa jitihada zake kwa kuzungumza na wadau wa maendeleo waliofanikisha hilo.

No comments:

Post a Comment