Thursday, 4 August 2016

UZINDUZI WA CHOO CHA KITUO CHA MAGARI

Ofisa afya wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Jovin Rweyemamu akikata utepe kwenye uzinduzi wa vyoo vya kituo cha magari ya kubebea abiria wa mji huo, vitakavyosimamiwa na Joram Munu.

No comments:

Post a Comment