Diwani wa Kata ya Endiamtu, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Philemon Oyogo,
akizungumza na wakazi wa Mji mdogo wa Mirerani baada ya kutembelewa na viongozi wa wilaya hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Yefred Myenzi,
akizungumza na wakazi wa Mji mdogo wa Mirerani kuhusu utendaji kazi wake
utakaofuata sheria, taratibu na kanuni (STK).
No comments:
Post a Comment