Wajumbe wa bodi ya
wakurugenzi wa shirika la madini nchini (STAMICO) wakiwa na baadhi ya watumishi
wa kampuni ya TanzaniteOne na STAMICO walipotembelea mgodi wanaoumiliki kwa
ubia na kampuni hiyo uliopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani
Manyara.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
wa shirika la madini nchini (STAMICO) Zena Kongoi akizungumza na waandishi wa
habari, kwenye mgodi wa kampuni ya
TanzaniteOne.
Zena Kongoi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la madini nchini (STAMICO) akizungumza na waandishi wa habari.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
wa shirika la madini nchini (STAMICO) Zena Kongoi akizungumza kwenye migodi ya Tanzanite.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya TanzaniteOne, Robert Grafen.
Wajumbe wa bodi ya
STAMICO wakiwa na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Balozi Alexiander Muganda, (wa
pili kushoto) baada ya kutembelea mgodi wanaoumiki kwa ubia na kampuni ya TanzaniteOne
uliopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.
Wajumbe bodi ya STAMICO
wakipanda scip kwa ajili ya kuingia kwenye mgodi wa madini ya Tanzanite uitwao
CT.