Wednesday, 11 February 2015

WAZIRI MAKALA AFANYA ZIARA HANANG'


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Mhandisi Sultan Ndoliwa akimuonyesha chanzo cha maji cha Kata ya Endasak, Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala (katikati) na mkuu wa wilaya hiyo Christina Mndeme, na Mbunge wa Jimbo hilo Dk Mary Nagu, Waziri Makala alianza ziara ya siku mbili mkoani humo ya kuzindua na kukagua miradi ya maji.

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Simbay Wilayani Hanang’ Mkoani Manyara, alipofanya ziara siku mbili mkoani humo ya kuzindua na kukagua miradi ya maji.

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akizungumza na viongozi wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, alipofanya ziara siku mbili mkoani humo ya kuzindua na kukagua miradi ya maji.

No comments:

Post a Comment