Wednesday, 11 February 2015

DIWANI KATA YA ENDIAMTU MH LUCAS ZACHARIA AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI

Katibu Uchumi na Fedha wa Mkoa wa Manyara na Diwani wa Kata ya Endiamtu, Wilayani Simanjiro, Lucas Zacharia, akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Endiamtu alipofika kwa ajili ya kuwatembelea na kuongea nao.

Diwani wa Kata ya Endiamtu, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Lucas Zacharia, akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Endiamtu alipofika kwa ajili ya kuwatembelea na kuongea nao.

Diwani wa Kata ya Endiamtu, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Lucas Zacharia, akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Endiamtu alipofika kwa ajili ya kuwatembelea na kuongea nao.

No comments:

Post a Comment