Balozi wa Afrika ya Kusini nchini Thailand Mhe. Ruby
Marks (katikati) katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa madini, wa kwanza
kushoto, Bw. Sam Mollel mwakilishi kutoka Tanzania Geomological Center (wa tatu
kulia) Bw. Musa Shanyangi, Mwenyekiti wa Kamati ya Vito ya Shirikisho la
Wachimbaji Tanzania (FEMATA), Bw. Gregory Kibusi.(nne kulia) Bw Harry Mushi na
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Manyara, Dorah Mushi.
No comments:
Post a Comment