Wanafunzi wa shule ya sekondari Mirerani
Benjamin Mkapa wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwasikiliza walimu na
viongozi wa Mji mdogo wa Mirerani, baada ya wanafunzi watatu kupata divishen
one na mmoja kupata divishen two, tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 2002
haijawahi kufaulisha hivyo.
Mkuu wa Kituo cha polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro
Mkoani Manyara, SP Ally Mohamed Mkalipa akizungumza na wanafunzi wa shule ya
sekondari Mirerani Benjamin Mkapa ambapo alitoa shilingi laki 3 kwa wanafunzi
watatu waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana na kupata Divishen One.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Mirerani
Benjamin Mkapa wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwasikiliza walimu na
viongozi wa Mji mdogo wa Mirerani, baada ya wanafunzi watatu kupata divishen
one na mmoja kupata divishen two, tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 2002
haijawahi kufaulisha hivyo.
Diwani wa kata ya Endiamtu Mji mdogo wa Mirerani,
Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Lucas Chimbason Zacharia akizungumza na
wanafunzi wa shule ya sekondari Mirerani Benjamin Mkapa ambapo aliwapongeza
wanafunzi wa watatu waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana na kupata
Divishen One na mwanafunzi mmoja aliyepata divishen two.
No comments:
Post a Comment