MAJADILIANO MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara, Khalid Mandia, akiongoza
kikao cha wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa mkoa huo kilichofanyika
mjini humo wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkurugenzi wa Uhai na
Takwimu wa NHIF, Michael Mhando, Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya mfuko huo Lydia
Choma na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla.
No comments:
Post a Comment