Tuesday, 25 September 2012

MACSNET

Mwenyekiti wa mtandao wa Asasi za kijamii mkoani Manyara,Asia Lembayati akifungua mdahalo wa matatizo yanayoletwa na tabia nchi na mbinu za kuepuka uliofanyika mji mdogo wa Magugu wilayani Babati kushoto ni Das wa wilaya ya Babati Geffrey Mutalemwa na Ofisa Tarafa wa Mbugwe Gitu Sedoyeka

No comments:

Post a Comment