Saturday, 4 February 2017

UZINDUZI WA MAZUBU GRAND HOTEL-MIRERANI



Muonekano wa Mazubu Grand Hotel, iliyopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.



Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, mhandisi Zephania Chaula akikata utepe kwenye uzinduzi wa Mazubu Grand Hotel iliyopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.



Mhasibu wa Mazubu Grand Hotel iliyopo mji mdogo wa Mirerani, Happy Sumari akisoma risala mbele ya Mkuu wa Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, mhandisi Zephania Chaula.



Wakati wa kupata maakuli kwenye Mazubu Grand Hotel.



Mkurugenzi wa Mazubu Grand Hotel, Elias Kipunile Maduhu akizungumza baada ya Mkuu wa wilaya ya Simanjiro mhandisi Zephania Chaula, akizindua hoteli hiyo.



Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, mhandisi Zephania Adriano Chaula akizungumza na Mkurugenzi wa Mazubu Grand Hotel, Elias Kipunile Maduhu.



Zoezi la uzinduzi wa Mazubu Grand Hotel iliyopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.



Mkurugenzi wa Mazubu Grand Hotel ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Elias Kipunile Maduhu, akizungumza wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.

No comments:

Post a Comment