Saturday, 18 March 2017

MBUNGE WA JIMBO LA SIMANJIRO JAMES OLE MILLYA AFANYA ZIARA TARAFA YA EMBOREETMbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kimotorok Kata ya Loiborsiret alipofika kuwashukuru na kusikiliza changamoto zinazowakabili.Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya akikagua madarasa ya shule ya sekondari Loiborsiret alipokuwa kwenye ziara yake ya kutembelea Tarafa ya Emboreet.Wananchi wa Kijiji cha Loiborsiret Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakimsikiliza mbunge wa Jimbo hilo James Ole Millya alipokuwa anazungumza nao akiwapa shukurani kwa kumchagua kuwa mbunge wao.

No comments:

Post a Comment