Friday, 3 February 2017

UWT MBULU YAWAPA MOYO KITUO CHA WAGONJWA NA WASIOJIWEZA BASHAY

 Mwenyekiti wa CCM Mkoani Manyara, Lucas Ole Mukus akimkabidhi mkurugenzi wa kituo cha wagonjwa na wasiojiweza wa Bashay Wilayani Mbulu Padri James Amnaay, mche wa sabuni kwa ajili ya kituo hicho pamoja na vyakula,nguo na sabuni vilivyotolewa na Jumuiya ya UWT Wilayani Mbulu katika wiki ya maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa chama hicho.
Viongozi wa Jumuiya ya UWT Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, wakipanda mti kwenye shule ya sekondari Bashay, kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa CCM.

No comments:

Post a Comment