Thursday, 12 January 2017

KAMPENI YA UDIWANI KATA YA DURU BABATI

Mgombea udiwani wa Kata ya Duru Mkoani Manyara, Ally Shaban (Chadema) akifurahia wakati wa kampeni yake jana kwenye Kijiji cha Gesbert (kulia) ni Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul.

Mgombea udiwani wa Kata ya Duru Wilayani Babati Mkoani Manyara, Jackson Haibei (CCM) akizungumza jana wakati akijinadi na kuomba kura kwa wananchi wa Kijiji cha Hoshan.

No comments:

Post a Comment