UJENZI WA BARABARA YA KIA-MIRERANI INAYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
Baadhi ya wakazi wa Mji mdogo wa
Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiangalia Katapila likiwa
linatengeneza barabara ya kiwango cha lami ya Kia-Mirerani inayoendelea
kutengenezwa ambapo inatarajia kumalizika mwezi Desemba mwaka huu.
No comments:
Post a Comment