Sunday, 26 July 2015

UNDP NA TEF WAWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI

 Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kushiriki mafunzo ya kuandika habari za uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo Mkoani Pwani katikati aliyekaa ni Mkurugenzi mkazi wa UNDP nchini Alvaro Rodriguez .
 Mwandishi wa Clouds Media Godfrey Kusolwa akizungumza kwenye mafunzo ya waandishi wa habari kuandika habari za uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
 Mkurugenzi mkazi wa shirika la maendeleo la umaoja wa mataifa (UNDP) Alvaro Rodriguez akizungumza jana na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali walioshiriki mafunzo ya kuandika habari za uchaguzi mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
 Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakishiriki mafunzo ya kuandika habari za uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
 Mkurugenzi mkazi wa shirika la maendeleo la umaoja wa mataifa (UNDP) Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali walioshiriki mafunzo ya kuandika habari za uchaguzi mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakishiriki mafunzo ya kuandika habari za uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo.

No comments:

Post a Comment