Tuesday, 30 June 2015

WANAFUNZI MANYARA




Wanafunzi wa shule ya sekondari Magugu Wilayani Babati Mkoani Manyara, wakimpokea mkuu wa mkoa huo Dk Joel Bendera alipotembelea shule yao kwa ajili ya kukagua maabara.

No comments:

Post a Comment