Wednesday, 3 June 2015

MANYARA KUANZA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA JUNI 9


Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akifungua mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya za mkoa huo kuhusiana na vifaa vya kuandikia daftari la wapiga kura ambapo kwenye mkoa huo zoezi hilo linatarajia kuanza Juni 9 hadi Julai 9 mwaka huu (kushoto) ni Naibu Waziri wa Tamisemi Aggrey Mwanry.


Waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara wakifuatilia mafunzo hayo.

Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za Wilaya za Mkoa wa Manyara wakila kiapo kwenye zoezi la mafunzo ya uandikishaji wa daftari la kudumu.

No comments:

Post a Comment