Ofisa masoko na matukio wa kampuni ya Asas Dairies Ltd ya Iringa inayozalisha bidhaa zinazotokana na maziwa, Jimmy Kiwelu, akiwaonyesha waandishi wa habari medali tatu za dhahabu walizopata baada ya kuwa washindi wa jumla kitaifa kwenye wiki ya 18 ya maziwa iliyohitimishwa mjini Babati Mkoani Manyara.
Show original message
No comments:
Post a Comment