Monday, 18 August 2014

MAHINDI GALAPO



Wakulima wa zao la mahindi wa Kijiji cha Galapo Wilayani Babati Mkoani Manyara, wakipukuchua mahindi yao ili wayapeleke sokoni ila wameiomba Serikali iharakishe ununuzi wa mahindi hayo kabla ya mvua hazijaanza kunyesha na kusababisha uharifu


Wakulima wa Kijiji cha Galapo Wilayani Babati Mkoani Manyara, wakiandaa mahindi yao kwenye soko la Galapo ambapo wameiomba Serikali ifanya mpango kwa kuwatafutia soko nchi jirani ya Kenya kwani mahindi ni mengi mno kwenye eneo hilo

No comments:

Post a Comment