Sunday, 10 August 2014

HARAMBEE KAIRO


Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka na msanii wa muziki Nakaaya Sumary, wakiimba kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Mikungani Mtaa wa Kario, katika harambee ya kuchangia kanisa hilo ambapo sh8 milioni zilipatikana.

Mbunge wa jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka na Diwani wa Kata ya Endiamtu, Lucas Zacharia wakiwa kwenye harambee ya kuchangia Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Meru mtaa wa Kairo

No comments:

Post a Comment