Baadhi ya viongozi wa Chadema, wa mdogo wa Mirerani, Wilayani
Simanjiro Mkoani Manyara, wakimsikiliza Mjumbe wa Taifa wa Kamati Kuu ya Chama
hicho Mwita Waitara akizungumza nao.
Mjumbe wa Kamati Kuu
ya Chadema, Mwita Waitara akizungumza na baadhi ya viongozi wa chama hicho
wa mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, kuhusiana na chaguzi
mbalimbali za chama hicho kwenye wilaya hiyo.
No comments:
Post a Comment