Monday, 28 November 2016

SHAKA AFANYA ZIARA SIMANJIRO



Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiwa na Kamanda wa UVCCM wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Daniel Ole Materi kwenye Kijiji cha Loiborsoit A, Kata ya Emboreet, alipofanya ziara yake ya siku mbili wilayani humo.

No comments:

Post a Comment