Katibu Tawala wa Mkoa
wa Manyara Eliakim Maswi akizungumza na Wakuu wapya wa Wilaya za Mkoa huo,
mjini Babati.
Mkuu mpya wa Wilaya
ya Hanang’ Sara Msafiri akila kiapo mjini Babati mbele ya Mkuu wa Mkoa wa
Manyara, Dk Joel Bendera.
Wakuu wapya wa Wilaya
za Mkoa wa Manyara, wakijiandaa kula kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa huo Dk Joel
Bendera.
Mkuu mpya wa Wilaya
ya Hanang’ Mkoani Manyara, Sara Msafiri akipongezwa na watumishi wa Wilaya hiyo
baada ya kula kiapo mjini Babati.
Wakuu wapya wa Wilaya
za Mkoa wa Manyara, wakiwa kwenye picha ya pamoja na wabunge wa Mkoa huo na baadhi
ya viongozi wa Mkoa huo, baada ya kula kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa huo Dk Joel
Bendera.
No comments:
Post a Comment