KAMPENI ENDIAMTU
Katibu uchumi na fedha wa CCM Mkoani Manyara, Lucas Zacharia
ambaye ni mgombea udiwani wa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro akiwa na mkewe
Beatrice Lucas kwenye kampeni ya kuomba kura ya udiwani
Katibu uchumi na fedha wa CCM Mkoani Manyara, Lucas Zacharia
ambaye ni mgombea udiwani wa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro akiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo
No comments:
Post a Comment