Waandishi
wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kushiriki mafunzo ya kuandika habari za
uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na
kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo Mkoani Pwani katikati aliyekaa ni Mkurugenzi mkazi wa UNDP nchini Alvaro Rodriguez .
Mwandishi wa Clouds Media Godfrey Kusolwa akizungumza kwenye mafunzo ya waandishi wa habari kuandika habari za
uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na
kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
Mkurugenzi mkazi wa
shirika la maendeleo la umaoja wa mataifa (UNDP) Alvaro Rodriguez akizungumza jana
na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali walioshiriki mafunzo ya kuandika
habari za uchaguzi mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
Waandishi
wa habari wa vyombo mbalimbali wakishiriki mafunzo ya kuandika habari za
uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na
kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
Mkurugenzi mkazi wa
shirika la maendeleo la umaoja wa mataifa (UNDP) Alvaro Rodriguez akizungumza
na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali walioshiriki mafunzo ya kuandika
habari za uchaguzi mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.
Waandishi
wa habari wa vyombo mbalimbali wakishiriki mafunzo ya kuandika habari za
uchaguzi yaliyoandaliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP) na
kufanyika kwa siku mbili mjini Bagamoyo.
Sunday, 26 July 2015
UZINDUZI WA TIBA KWA KADI (TIKA) BABATI
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela akilenga shabaha kwenye uzinduzi wa huduma ya tiba kwa kadi (Tika) katika halmashauri ya mji huo katika uwanja wa Kwaraa.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela akizungumza kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati katika uzinduzi wa huduma ya tiba kwa kadi (Tika) wa halmashauri ya mji huo, kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji huo Omary Mkombole.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela akilenga shabaha kwenye uzinduzi wa huduma ya tiba kwa kadi (Tika) katika halmashauri ya mji huo katika uwanja wa Kwaraa.
TUNAJITOLEA KUJENGA DARASA
Raia wa kujitolea
kutoka nchini Marekani wakishirikina na mafundi kujenga darasa kwenye shule ya
msingi Managa, Wilaya ya Babati Mkoani Manyara.
Tuesday, 21 July 2015
NAGOMBEA UBUNGE MANYARA
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara, (Mamec) Mary Margwe (kushoto) akirudisha fomu ya kugombea ubunge wa viti maalumu mkoani humo kwa Kaimu Katibu wa UWT mkoani Suraiya Kangusu.
Subscribe to:
Posts (Atom)