Tuesday, 3 March 2015

JITUSON AGWA BAISKELI NA KOMPYUTA JIMBONI KWAKE


Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mkoani Manyara Vrajlal Jituson, akimkabidhi baiskeli Josephine John muhudumu wa afya vijijini wa Kijiji cha Riroda, kati ya baiskeli 36 alizozigawa kwa wahudumu 36 wa afya vijijini katika Vijiji vya Tarafa ya Goroi.

Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mkoani Manyara Vrajlal Jituson, akimkabidhi kompyuta kwa uongozi wa shule ya sekondari Chief Dodo, ambapo aligawa kompyuta tano kwenye Kata tano za Tarafa ya Goroi.

No comments:

Post a Comment