TUNAZINDUA MADARASA
Mkurugenzi wa Graceland Hotel Ltd na Kamanda
Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Daniel Ole Materi na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka, wakizindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo
Terrat aliyojengwa kwa gharama ya sh50 milioni.
No comments:
Post a Comment