Mtoto Flora Charles wa kituo cha
Rafiki Child Care wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro akisoma risala ya
kituo hicho kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa 2015.
Watoto wa kituo cha Rafiki Child
Care wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro wakicheza muziki wakati wa sherehe
za kuukaribisha mwaka mpya wa 2015.
No comments:
Post a Comment