Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani
Manyara SP,Ally Mohamed Mkalipa akiwa na viongozi wa dini na wa siasa wa mji
huo walipokutana kwa ajili ya kuhakikisha usalama katika mji huo.

Umati wa watu waliohudhuria mkutano wa mwisho wa kampeni ya
Chadema Juni 15 mwaka huu,ya udiwani wa kata nne za Kaloleni,Themi,Elerai na
Kimandolu za jijini Arusha,ambapo watu watatu waliuawa na zaidi ya 60
kujeruhiwa,baada ya bomu kurushwa na mtu asiyejulikana.
Mchungaji
wa KKKT Usharika wa Sokon One Issack Kisiri akiweka wakfu kwenye kaburi la
marehemu Judith Moshi aliyekuwa Katibu wa Chadema wa Kata ya Sokon
One,aliyeuawa na bomu lililorushwa kwenye mkutano wa Chadema eneo la
Soweto,Juni 15 mwaka huu.
Wakazi wa Kijiji cha Ngwandakw,Kata ya Haydom Wilayani Mbulu
Mkoani Manyara,wakiwa kwenye foleni ya maji ambapo ili kuweza kupata maji
inambidi mtu atumie muda wa saa mbili hadi saa tatu ili kuyapata.
No comments:
Post a Comment