Tuesday, 18 June 2013

SUGU ANUSURIKA KUFARIKI



Mbunge wa Jimbo la Mbeya Joseph Mbilinyi Sugu amenusurika kufa baada ya kugongwa na basi la Coast Line kwenye eneo la Katesh WIlayani Hanang hata hivyo hakuudhurika ila vioo vya gari lake viliingia jichoni na vimeshatolewa.

No comments:

Post a Comment