Monday, 25 June 2012

DC NA MATREKTA

Mkuu wa wilaya ya Hanang' Mkoani Manyara,Christint Mndeme akiwasha trekta moja kati ya matrekta tisa yaliyotolewa kwa mkopo kwa kikundi cha Takauma SACCOS cha Tarafa ya Bassotu mkopo huo uliwezeshwa na Mbunge wa Viti maalum Mkoani Manyara Chadema,Rose Kamil Sukums.

1 comment:

  1. JE HAYO MATREKTA NI MAPYA AU WAKOPAJI HAWATAKI KULIPA DENI

    ReplyDelete