Monday, 15 February 2016

MANYARA



Diwani wa Kata ya Terrat Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Ole Materi akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo.



Wadau wa madini ya Tanzanzite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye mkutano wa kamati ya ulinzi na usalama ya kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment