Sunday, 1 November 2015

SIKU YA MWALIMU MANYARA


Mwenyekiti wa chama cha walimu nchini (CWT) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Abraham Kisimbi akizungumza kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.
 Mwenyekiti wa chama cha walimu nchini (CWT) Mkoani Manyara, Qambos Sulle akizungumza kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.
 Baadhi ya walimu wa Mkoa wa Manyara wakishikana mikono kwa lengo la kuonyesha umoja na mshikamano daima kwenye maadhimisho ya siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.
Mkuu wa Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mahamoud Kambona akizungumza kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani, ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment