Friday, 27 November 2015

KITUO CHA AFYA MIRERANI



Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Hashim Kambona akisikiliza maelezo ya mganga mkuu wa kituo cha afya Mirerani, alipotembelea kuona changamoto na mafanikio waliyonayo.

No comments:

Post a Comment