Saturday, 29 November 2014

NAWAKABIDHI SARUJIMkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo ( wapili kulia) akiwakabidhi Diwani wa Kata ya Ganana, Wilayani Hanang’ Zacharia Tarmo na Diwani wa viti maalum Juliana Songai, moja kati ya mifuko 100 ya saruji yenye thamani ya sh1.7 milioni iliyotolewa na wakuu wa idara wa halmashauri ya wilaya hiyo, kulia ni Mkuu wa wilaya hiyo Christina Mndeme na katikati ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo Filex Paul Mabula.

No comments:

Post a Comment