Kiulaini: Thomas Muller akifunga bao la kwanza baada ya mabeki kukosea kukaba mpira wa kona
Kipigo cha mbwa mwizi: Scolari akizungumza na wachezaji wake baada ya kufungwa mabao 7-1 na Ujerumani.
Jukwaani nako hali ilikuwa mbaya sana
Hakuna kwa kujificha: Marcelo baada ya dakika 90 kumalizika.
Pole kaka!: Miroslav Klose, aliyefunga bao la pili akimtia moyo Luis Gustavo
Raha: Toni Kroos alifunga bao la tatu na la nne usiku huu.
Tano hizo: Sami Khedira akifunga bao la tano kabla ya nusu saa
Mabeki wa Brazil walicheza maboya sana
Mmaliziaji:
Andre Schurle, alifunga mabao mawili ya mwisho ya Ujerumani, huku
mchezaji mwenzake wa Chelsea Oscar akifunga la kufutia machozi.
Kijana umenizingua na uzee huu!: Scolari akizungumza na kocha wa Ujerumani, Joachim Low
No comments:
Post a Comment