Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani Mrakibu wa polisi Ally Mohamed
Mkalipa akisalimia na Abdulhamid Humud wakati akiikagua timu ya Simba
ilipotembelea mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara na
kucheza na timu ya Tanzanite Sports Club.
Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani
Manyara, Mrakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa akisalimia na Abdalah Seseme wakati
akiikagua timu ya Simba ilipotembelea mji mdogo wa Mirerani na kucheza na timu
ya Tanzanite Sports Club.
Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani SP, Ally Mohamed Mkalipa
akisalimia na wachezaji wa timu ya Tanzanite Sports Club kabla haijacheza na
timu ya Simba Sports Club wakati ilipotembelea mji mdogo wa Mirerani.
No comments:
Post a Comment